Home > CCM > Katibu Mkuu Wa CCM Kinana Apiga Marufuku Wagombea Kuuziwa Fomu Za Uchaguzi Kwa Ngazi Zote Za Uongozi Ndani Ya Chama.

Katibu Mkuu Wa CCM Kinana Apiga Marufuku Wagombea Kuuziwa Fomu Za Uchaguzi Kwa Ngazi Zote Za Uongozi Ndani Ya Chama.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana amepiga marufuku uuzaji wa fomu za uchaguzi kwa ngazi zote za uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi(CCM).
Taarifa iliyosainiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu Rodrick Mpogolo kwenda kwa Makatibu Wakuu wa Jumuiya imeeleza kuwa kwa mwanachama yeyote aliyeuziwa fomu arejeshewe pesa yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *