Home > Bunge > Matukio Katika Picha: Yaliyojiri Katika Kikao Cha 58 Mkutano Wa Saba Bunge La 11 Mjini Dodoma Leo Julai 3,2017.

Matukio Katika Picha: Yaliyojiri Katika Kikao Cha 58 Mkutano Wa Saba Bunge La 11 Mjini Dodoma Leo Julai 3,2017.

 

PIX 2 Mhe.Palamagamba

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof Palamagamba Kabudi akisoma maelezo kuhusu muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Nchi kuhusiana na umiliki wa maliasili wa mwaka 2017   katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa hamsini na nane wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.

PIX 3 Mhe.Jafo

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.

PIX 4 Mhe.kalemani

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.

PIX 5 Mhe.Kamwelwe

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge   katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.

PIX 6 Mhe.Makani

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Ramo Makani  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge    katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.

PIX 7 Mhe.Kijaji

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge  katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.

PIX 8 Mhe.Mpango na Mhagama

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Waziri wa fedha na Mipango Mhe.Dk Philip Mpango   katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.

PIX 9 Mhe.majaliwa na Salma

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuchaguliwa Mhe.Salma Kikwete  katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.

PIX 10 Mhe.Waziri Mkuu na Mbatia

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mbunge wa Vunjo Mhe.Eng James Mbatia  katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3,2017.

Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *