Home > CCM > Katibu Mkuu Wa CCM Ndg.Kinana Awasili Tanga Kushiriki Uzinduzi Wa Mradi Wa Bomba La Mafuta Kutoka Uganda.

Katibu Mkuu Wa CCM Ndg.Kinana Awasili Tanga Kushiriki Uzinduzi Wa Mradi Wa Bomba La Mafuta Kutoka Uganda.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Ndg.Henry Shekifu baada ya kuwasili kwenye mkutano wa hadhara wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli uliofanyika katika Wilaya ya Muheza mkoani Tanga leo. Katikati ni Mkuu wa Wilaya hiyo Mwanasha Tumbo.
 Mbunge wa  Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Ummy Mwalimu akisalimia wakati wa mkutano huo kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Ndg.Martine Shigela.
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Henry Shekifu akisalimia wakati wa mkutano huo
 Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Abdulrahman Kinana akienda jukwaani kusalimia wakati wa mkutano huo, Kushoto ni Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Abdulrahman Kinana akizungumza alipoalikuwa kuzungumza wakati wa mkutano huo.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana akizungumza alipoalikuwa kuzungumza wakati wa mkutano huo.
 Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo.
 Mke wa Rais Mama Janet Magufuli akisalimia kwenye mkutano huo.
 Rais Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wa meza kuu akiwemo Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Abdulrahman Kinana wakifurahia jambo wakati wa mkutano huo.
 Mamia ya watu wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo.
 Mbunge wa Muheza Mhe. Adadi Rajab akizungumza wakati wa mkutano huo mbele ya Rais Dkt. Magufuli.
 Rais Dkt. Magufuli akizungumza wakati wa mkutano huo
 Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Kinana akifuatana na viongozi wa CCm Mkoa wa Tanga kumsikiliza Rais Dkt.Magufuli alipozungumza na wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la Pongwe
 Comred A.Kinana na baadhi ya viongozi wa CCM wakimsikiliza Rais Dkt.Magufuli katika eneo la Pongwe.
 Rais Dkt Magufuli akizungumza na wananchi katika eneo la Pongwe.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *