Home > CCM > Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg,Rodrick Mpogoro Afungua Mafunzo Elekezi Kwa Makatibu Wa UVCCM Mikoa Ya Tanzania Bara Na Visiwani.

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg,Rodrick Mpogoro Afungua Mafunzo Elekezi Kwa Makatibu Wa UVCCM Mikoa Ya Tanzania Bara Na Visiwani.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Bara Ndg,Rodrick Mpogoro akifungua Mafunzo elekezi kwa makatibu wa Umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar es salaam.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana na mjumbe wa kamati kuu  ya Chama Cha Mapinduzi Ndg:Sadifa Juma khamisi akizungumza katika Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar es salaam

Kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi shaka Hamdu Shaka akizungumza katika Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba Dar es salaam.

Washiriki wa mafunzo elekezi wakifuatilia mafunzo.
Mshiriki Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro Ndg,Abdulrahim Hamid akiuliza swali wakati wa Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *