Home > Featured_Slider > UVCCM: UTENDAJI MIAKA MIWILI YA SERIKALI YA JPM KIELELEZO CHA UZALENDO

UVCCM: UTENDAJI MIAKA MIWILI YA SERIKALI YA JPM KIELELEZO CHA UZALENDO

Sehemu ya washiriki kwenye kongamano lililoandaliwa na uvccm kuhusu tathmini na uchambuzi wa miaka miwili ya utendaji wa serikali ya Rais Dk John Magufuli lilifanyika Mkoani humo (picha na fahd Siraji)
Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga Allan Kingazi akihutubia katika kongamano lililoandaliwa na uvccm kuhusu tathmini na uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili ya serikali ya Rais Dk John Magufuli (picha na Fahdi Siraji)
Katibu wa UVCCM Wilaya ya Tanga mjini Abdurahman Killo akisoma tamko la uvccm kuunga mkono utendaji wa miaka miwili wa serikali ya Rais John Magufuli lilifanyika ukumbi wa BMK Mkoani Tanga.
Sehemu ya wakikisjinwa Jumuiya ya Wanawake(UWT) Mkoa Tanga walioshiriki kwenye kongamano la tathmini ya Uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili ya serikali ya Rais Dkt John Pombe Magufuli likifanyika mkoani Tanga.
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Tanga Abdiely Makange akizungumza kabla ya kumkaribisha Kaimu katibu mkuu wa uvccm Shaka Hamdu Shaka azungumze na makundi ya vijana wa vyuo na vyuo vikuu.mama lishe.na boda boda kwnye Ukumbi bwa BMK Mkoani Tanga.
Kaimu Katibu Mkuu Ndugu Shaka Hamdu Shaka akizumgumza kwenye kongamano lilioandaliwa na UVCCM kuhusu tathmini ya uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili wa serikali ya Rais Dkt John Pombe Magufuli kwenye ukumbi wa bmk Mkoani Tanga jana.(picha na Fahdi Siraji).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *