Home > CCM > MATUKIO PICHA MBALIMBALI MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA.

MATUKIO PICHA MBALIMBALI MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA.

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akifungua Mkutano Mkuu wa tisa wa CCM, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Dodoma, leo. Pamoja na mambo mengine kuhusu mageuzi ndani ya Chama, uadilifu na usimamizi wa mali za Chama ili Chama kisitegemee wafadhili wakiwemo matajiri wachache, amemtaka Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana kuendelea kumsaidia katika nafasi hiyo ya Katibu Mkuu katika kipindi kingine cha miaka mitano

 Wajumbe wakifuatilia mkutano

  Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti kufungua Mkutano huo

 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi ndg:Kheri D James akisalimiana na mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe:John Mongela.

 Mkamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Thabia Mwita akifurahi jambo

 Makamo wa pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Idd akiwasilisha

 katibu mkuu wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi akiteta jambo na katibu mkuu wa umoja wa wanawake Tanzania

PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *