Home > Featured_Slider > RAIS DKT MAGUFULI APATA TUZO YA AMANI YA MANDELA 2017

RAIS DKT MAGUFULI APATA TUZO YA AMANI YA MANDELA 2017

Kamati ya Tuzo za Mandela huko Afrika Kusini zimempa Rais John Magufuli Tuzo ya Amani ya Mandela ya nwaka 2017 yaani Mandela Peace Prize ikiwa ni kutambua jitihada zake katika kulinda amani na kupigania usawa wa kijamii.

Inaelezwa kuwa kamati hii ilipokea maombi takribani 5000 za kuwania tuzo hizo. Tofauti na Rais Magufuli viongozi wengine walioshinda ni Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye ameshinda Tuzo ya Mandela ya Demokrasia.

Wengine ni Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza ambaye amepewa Tuzo ya Ujasiri, Rais Idriss Itno wa Chad akipewa Tuzo ya Ulinzi huku Mahakama ya Juu nchini Kenya na Jeshi la Zimbabwe zikipewa Tuzo za Ujasiri.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *