Home > Ally Linje (Page 2)

MAJALIWA; SERIKALI HAITAWAVUMILIA WATU WANAOTUMIA VIBAYA FEDHA ZA UMMA ZINAZOPASWA KULETA MAENDELEO KWA WANANCHI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema Serikali haitawavumilia watu wote wanaotumia vibaya fedha za umma ambazo zinapaswa kuleta maendeleo kwa wananchi, zikiwemo na za Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi. Amesema mfuko huo unalenga kufanikisha ukusanyaji wa fedha za kutosha amabazo ni muhimu kwa Taifa

Soma zaidi

RC WANGABO AITAKA MANISPAA YA SUMBAWANGA KUBORESHA MASOKO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe Joachim Wangabo ameitaka Manispaa ya Sumbawanga kuhakikisha wanaboresha mazingira ya masoko yaliyopo kwenye Manispaa hiyo ili wananchi waweze kupata huduma kwenye maeneo hayo bila ya kulazimika kufika katikati ya mji kupata huduma hiyo.   Amesema kuwa wakuu wa idara katika Manispaa hawanabudi kuhakikisha wanashuka kuwafuata wananchi

Soma zaidi