Home > Ally Linje (Page 9)

HALMASHAURI WILAYA YA HANDENI YAKABIDHI MATREKTA MANNE KWA VIKUNDI VYA UZALISHAJI KUCHOCHEA KASI YA MAENDELEO YA KILIMO

Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni umekabidhi matrekta manne (4) kwa vikundi vya uzalishaji na kuvitaka vikundi hivyo kutumia matrekta hayo kwa lengo la kuchochea kasi ya maendeleo ya kilimo kwenye maeneo yao. Akikabidhi matrekta hayo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Mh. Ramadhani Diliwa amewaeleza vikundi kuwa Halmashauri

Soma zaidi

TATIZO LA MSINGI LA MGOGORO WA LOLIONDO LITATATULIWA KATIKA MEZA YA MAKUBALIANO – DKT. KIGWANGALLA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla amewataka viongozi wa Serikali na wale wenye upande wa mgogoro wa Pori Tengefu la Loliondo kukaa chini ili kupata ufumbuzi wa suala hilo lililochukua karibu miaka zaidi ya 20 sasa huku akitoa tamko la kusitisha operesheni zote zilizokuwa zikiendelea katika suala hilo. Waziri

Soma zaidi