Home > Featured_Slider (Page 107)

Ripoti ya UNHCR Yasifia Tanzania Kwa Kuhifadhi Idadi Kubwa Ya Wakimbizi.

Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi (UNHCR) imeeleza kuwa Tanzania ndiyo nchi inayoongoza kwa kuhifadhi idadi kubwa ya wakimbizi kutoka Burundi, miongoni mwa nchi za Afrika Mashariki.   Ripoti hiyo imetolewa wakati jana dunia iliadhimisha siku ya wakimbizi duniani. Imeonyesha kuwa hadi sasa, kuna wakimbizi 245,000 kutoka Burundi wanaoishi katika

Soma zaidi