Home > Jamii

WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI MHANDISI ISACK KAMWELE ATEMBELEA MIRADI YA DAWASA YA UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA MAJI

 Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwele, akiteremka kutoka juu ya tenki la maji linalojengwa huko Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, leo Desemba 5, 2017, wakati wa ziara yake ya siku mbili kukagua miradi ya maji inayoendeshwa na DAWASA       NA K-VIS BLOG/Khalfan Said   WAZIRI wa Maji na

Soma zaidi

WATUMISHI WA UMMA WAKUMBUSHWA UWAJIBIKAJI WENYE TIJA KATIKA MAENEO YAO YA KAZI

Na Robert Hokororo, Kishapu DC Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala Bora na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. George Kakunda amewakumbusha watumishi wa umma uwajibika wenye tija katika maeneo yao ya kazi huku akisisitiza kila idara ina umuhimu wake. Akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Mh. Kakunda alisistiza kwa

Soma zaidi