Home > Matukio

WAZIRI MKUU WA TANZANIA MAJALIWA AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amekagua matengenezo ya makazi ya muda yanayotarajiwa kutumiwa Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan pindi atakapohamia Dodoma. Waziri Mkuu amefanya ukaguzi huo leo mchana (Jumatano, Desemba 6, 2017) katika eneo la Kilimani, mjini Dodoma ambako yalikuwa makazi ya Mkuu wa

Soma zaidi

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA VIWANDA AKUTANA NA WAZIRI WA UWEKEZAJI JORDAN

Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji,  amekutana na Mhe. Muhannad Shehadeh, Waziri wa Nchi anaeshughulikia Uwekezaji kutoka   Jordan ambaye ameambatana na wafanyabiashara 40 kwa ajili ya kuangalia fursa za biashara na uwekezaji nchini. Katika kikao hicho Mheshimiwa Naibu Waziri ameishukuru nchi ya Jordan kwa kuendelea kuwa na ushirikiano

Soma zaidi

WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI MHANDISI ISACK KAMWELE ATEMBELEA MIRADI YA DAWASA YA UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA MAJI

 Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwele, akiteremka kutoka juu ya tenki la maji linalojengwa huko Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, leo Desemba 5, 2017, wakati wa ziara yake ya siku mbili kukagua miradi ya maji inayoendeshwa na DAWASA       NA K-VIS BLOG/Khalfan Said   WAZIRI wa Maji na

Soma zaidi