Home > Matukio (Page 2)

WAZIRI MKUU MHE.MAJALIWA AMKABIDHI MHANDISI WA MAJI WA RORYA KWA NAIBU WAZIRI TAMISEMI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania🇹🇿 Mhe.Kassim Majaliwa amemkabidhi Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya, Mhandisi Obetto Sasi kwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Bw. Josephat Kandege baada ya kutoridhishwa na utendaji wake. Ametoa uamuzi huo jana jioni (Jumanne, Januari 16, 2018) wakati aliposimamishwa

Soma zaidi

NEC YAWAKUMBUSHA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI KUZINGATIA SHERIA

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewakumbusha wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi kuzingatia sheria, kanuni na taratibu katika kusimamia uchaguzi ili kufanikisha Uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika Februari 17, 2018. Hayo yamsemwa na Kaimu Mkuu wa Sehemu ya Uchaguzi Kanda ya Pwani kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Stephen Elisante wakati akifungua mafunzo

Soma zaidi