Home > Matukio (Page 50)

Katibu Mkuu Utumishi Akutana Na Watumishi Wa Mkoa Wa Singida Na Kuhimiza Suala La Uadilifu.

 Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (wa pili kulia), akifafanua jambo kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Angelina Lutambi (kushoto) baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Singida kutoka kwa Katibu Tawala huyo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho

Soma zaidi

Mkuu Wa Wilaya Shinyanga Awaumbua Hadharani Viongozi Wa Upinzani Wanaokwamisha Miradi Ya Maendeleo,Aonya Siasa Za MajiTaka.

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amewataka wananchi wa kijiji cha Mwamagunguli kata ya Kolandoto manispaa ya Shinyanga kuacha kuchanganya siasa kwenye masuala maendeleo kwani inakwamisha shughuli za maendeleo na kusababisha kero katika jamii. Matiro ameyasema hayo jana June 21,2017 baada ya kutatua mgogoro wa mradi wa maji ya kisima

Soma zaidi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ahimiza Ushirikiano Na Upendo Kwa Dini Zote Tanzania.

Waziri  Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akibadilishana mawazo na Spika wa Bunge Job  Ndugai   katika  Futari  iliyoandaliwa na Spika  kwa ajili ya Wabunge , Wafanyakazi  wa Bunge na Wageni waalikwa  katika viwanja vya Bunge June 20. 2017 Mjini Dododma Waziri  Mkuu  Mhe.Kassim  Majaliwa . akitoa salamu za Shukurani  kwaniaba ya WaBunge na wafanyakazi

Soma zaidi