Home > Mawasiliano

MWENYEKITI WA UVCCM NDG KHERI JAMES AFANYA ZIARA KWENYE VYOMBO VYA HABARI VYA CHAMA (CCM)

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kheri James afanya ziara kwenye vyombo vya habari vinavyomilikiwa na Chama Cha Mapinduzi kujionea namna vinavyofanya kazi na kujua changamoto zao ikiwa sehemu ya kuimarisha mahusiano mema kati ya vyombo hivyo na UVCCM. Kheri James alianza ziara hiyo kwenye gazeti la

Soma zaidi