Home > Picha

Rais Mhe. Dkt Magufuli Aelekea Mkoani Arusha Kwa Ziara Ya Kikazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 20 Septemba, 2017 ameondoka jijini Dar Es salaam kuelekea mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi. Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA,Rais Dkt. Magufuli ataanza ziara yake Mkoani Manyara kwa kufungua

Soma zaidi

Maadhimisho Ya Siku Ya Vijana Kimataifa Yafana Dodoma.

*12/08/2017 Mkoa wa Dodoma. Maadhimisho ya siku ya Vijana Kimataifa yamefanyika Leo katika viwanja wa Nyerere Square Dodoma. Mgeni rasmi Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Sera uratibu Bungu Ajira Kazi Vijana na watu wenye ulemavu Mhe Jenista Muhagama. Vijana mbali mbali wa mkoa wa Dodoma walijitokeza kwa wingi katika maadhimisho

Soma zaidi