Home > Picha (Page 2)

Mavunde Asisitiza Nidhamu, Uadilifu, Bidii Na Kutokata Tamaa Kwenye Ajira Kwa Vijana

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Anthony Mavunde amesisitiza nidhamu, uadilifu, bidii na kutokukata tamaa kwenye mafanikio ya ajira kwa vijana. Mhe. Mavunde ameyasema hayo wakati akihojiwa na kipindi cha VijanaTz kinacholetwa kwenu na Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa kinachorushwa mubashara kupitia

Soma zaidi