Home > Siasa (Page 2)

CHADEMA YAPATA PIGO, YAKIMBIWA NA MJUMBE WA BODI YA WADHAMINI NA MTIA SAINI WA RUZUKU ZA CHAMA

Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ambaye pia ni mmoja kati ya watia saini wa ruzuku za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Ndugu Muslim Hassanali ametangaza kujivua nafasi yake na kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi(CCM) hii leo tarehe 09/01/2018. Muslim Hassanali, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya

Soma zaidi