Home > Uchaguzi (Page 2)

YALIYOJIRI KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI VIWANJA VYA SOKONI PASUA KATA YA BOMAMBUZI WILAYA YA MOSHI MJINI, KILIMANJARO

Baadhi ya aliyoyasema Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka (MNEC) wakati akizindua rasmi Kampeni na kumnadi mgombea wa udiwani wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kata ya Bomambuzi Wilaya ya Moshi mjini, Kilimanjaro. "April 2016 nilifika kuzungumza nanyi katika viwanja hivi kukiwa na mvua kama Leo, nikawambia nitarudi kuja kumnadi

Soma zaidi

UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI KIJICHI JANA WAFANA, KUSILAWE ASEMA CCM ITASHINDA UDIWANI KATA ZOTE TATU DAR

 Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Saad Kusilawe akiwasili kwenye Uwanja wa mkutano kuzindua kampeni za Uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Kijichi, jana. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke Ndugu Almishi Hazal.  Wananchi na wana CCM wakishangilia wakati Kusilawe na viongozi wenzake wakiingia

Soma zaidi