Home > Uchambuzi (Page 4)

Mwenyekiti Wa Bodi Ya Parole Mrema Ataja Mambo Manne Kumaliza Mauaji Rufiji Na Kibiti

Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Augustino Mrema amependekeza kufanyika kwa mambo manne haraka iwezekanavyo ili kumaliza matukio ya mauaji yanayoendelea Kibiti na Rufiji mkoani Pwani. Mrema ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Ndani miaka ya 1990, aliitaka Serikali isiogope gharama ili kudhibiti tatizo hilo lisienee maeneo

Soma zaidi