Home > Fursa (Page 2)

UVCCM YAPOKEA KWA MASIKITIKO KIFO CHA NDUGU SAID ABDALLAH NATEPE

TANZIA "Tumepokea kwa mshituko, fadhaa na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha kaka yetu Said Abdallah Said Natepe aliyefariki jana. Marehemu Said Aballah Natepe aliwahi kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa 2003- 2008 katika maisha yake amekuwa kijana mwenye uzalendo, mpenda Umoja na mshikamano na hakuwahi kuyumbishwa kisiasa. Kazi ya mungu

Soma zaidi