Home > Fursa > Taarifa Mbalimbali

MBUNGE WA SONGEA MJINI LEONIDAS GAMA AFARIKI DUNIA, KUZIKWA JUMATATU KIJIJINI KWAO LIKUYUFUSI RUVUMA

Aliyekuwa Mbunge wa Songea Mjini(CCM), Leonidas Gama anatarajiwa kuzikwa Jumatatu katika makaburi ya familia yaliyopo Kijiji cha Likuyufusi mkoani Ruvuma. Gama aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa Novemba 24,2017 atazikwa Jumatatu Novemba 27,2017 katika makaburi hayo yaliyopo umbali wa kilomita 25 kutoka Songea mjini. Issa Fussi ambaye ni msemaji wa familia

Soma zaidi