Home > Uncategorized

HALMASHAURI WILAYA YA HANDENI YAKABIDHI MATREKTA MANNE KWA VIKUNDI VYA UZALISHAJI KUCHOCHEA KASI YA MAENDELEO YA KILIMO

Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni umekabidhi matrekta manne (4) kwa vikundi vya uzalishaji na kuvitaka vikundi hivyo kutumia matrekta hayo kwa lengo la kuchochea kasi ya maendeleo ya kilimo kwenye maeneo yao. Akikabidhi matrekta hayo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Mh. Ramadhani Diliwa amewaeleza vikundi kuwa Halmashauri

Soma zaidi